Hii ni Sura ya mbele ya kitabu cha mwongozo wa Ufugaji bora wa kuku. Kimeongelea aina mbalimbali ya kuku wakiwemo kuku wa kienyeji, kuku chotara, kuku wa kisasa wa mayai na kuku wa kisasa wa nyama. Katika Sura ya kwanza ya kitabu hiki, inaongelea hatua kwa hatua, ni namna gani utamlea kuku wako toka kifaranga hadi anakuwa, nini cha kufanya ili usimpoteze kuku mmoja wakati wa uleaji, kuna chanjo za magonjwa, dawa na programu za chakula. Pia katika sura ya pili kimeongelea Miradi ya ufugaji wa kuku, utotoreshaji wa kisasa yaani kwa kutumia Incubator pamoja na ule wa asili. Kuku wazazi wanapatikanaje,namna ya kutibu mayai nk. Na sura ya tatu kimeongelea magonjwa mbalimbali ya kuku,dalili zake namna ya kuyazuia na kuyatibu. Kitabu hiki kinauzwa kimeandikwa na Daktari wa kuku Aman Ng'oma. Kinauzwa, tafadhari mfugaji usithubutu kukikosa, kama utakihitaji tafadhali tuwasiliane kupitia namba zangu +255(0)767989713 +255(0)715989713 na +255(0)786989713
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni