Makamu
wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani
ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake. Akiwa nachini
Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana
Banki Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya
Tanzania katika ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wake, Dk. Mohamed Gharib Bilal baada ya kuwasili. ((Picha na Freddy Maro) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni