Pata picha zake:
Jumapili, 19 Januari 2014
HUYU NDIYE MHESHIMIWA MAGUFULI
Nimeshangaa
hata kutoamini macho yangu kipindi tupo twasikiliza redio kutangazwa
baraza la Mawaziri , Dr. Magufuli alikuwa hapa kwenye Ujenzi wa daraja
la Kigamboni na tena akiwa peke yake kavaa casual alikuwa anadrive Gari
lake mwenyewe. Watu wamecheka na kufurahi kwa vile kaondoka pale kwenda
kukagua eneo lenye utata wa kupisha Ujenzi , inaonekana hata hajui
kinachoendelea Ikulu!
Pata picha zake:







Pata picha zake:
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KINASORU EAST AFRICA TANZANIA LTD
KARIBU KWENYE BLOG YETU YA KINASORU EAST AFRICA TANZANIA LTD
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni