Rais
Jakaya Kikwete, jioni hii amelihutubia Bunge, mjini Dodoma. Katika
hotuba hiyo iliyochukua zaidi ya saa moja, Rais amezungumzia masuala
mbalimbali, lakini kubwa zaidi likiwa ni hali ya sasa ya Jumuia ya
Afrika Mashariki na mustakabali wa Tanzania katika Jumuia hiyo. Wakati wa hotuba hiyo walikuwepo pia Makamu wa Rais Dk. Mohamed Garib Bilal na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kuisoma hotuba yote.http://makalazetu.blogspot.com/2013/11/hotuba-ya-mheshimiwa-jakaya-mrisho_5437.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni